DKT.YONAZI ATETA NA UONGOZI WA TACAIDS


                           Dkt.Jimmy Yonazi


Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi amekutana na kufanya mazungumzo na uongozi wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania TACAIDS kujadili kuhusu maandalizi  ya Maadhimisho ya siku ya  UKIMWI Duniani ambayo inaadhimishwa kila mwaka ifikapo Disemba Mosi.

Dkt.Yonazi amekutana na uongozi huo Ofisini kwake Jijini Dodoma tarehe 01 Novemba, 2024 ambapo

kikao hicho kilihudhuriwa na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo Bw. Anderson Mutatembwa pamoja na timu ya wataalam kutoka Idara ya Sera na Uratibu wa Shughuli za Serikali katika Ofisi hiyo.


Comments

Popular posts from this blog

SEKTA YA NISHATI IWE KICHOCHEO CHA KUIUNGANISHA AFRIKA KUJENGA UCHUMI