Posts

Showing posts from July, 2025

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO

Image

WATANZANIA WAHAMASISHWA KUSHIRIKI KIKAMILIFU KATIKA UCHAGUZI MKUU WA 2025

Image
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufani Jacobs Mwambegele akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Tume na wawakilishi wa watu wenye ulemavu kuhusu uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025. Kikao hicho cha siku moja kilifanyika jijini Dar es Salaam leo Julai 31,2025.  Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufani Jacobs Mwambegele akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Tume na wawakilishi wa watu wenye ulemavu kuhusu uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025. Kikao hicho cha siku moja kilifanyika jijini Dar es Salaam leo Julai 31,2025.  Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ndg Kailima Ramadhani akitoa mada wakati wa Kikao cha Tume na wawakilishi wa watu wenye ulemavu kuhusu uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025. Kikao hicho cha siku moja kilifanyika jijini Dar es Salaam leo Julai 31,2025.  Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ndg Kailima Ramadhani akitoa mada wakati wa Kikao cha Tume na waw...

MWENGE WA UHURU KUPOKELEWA 'Kagongwa' SHINYANGA AGOSTI 3!

Image
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Mboni M. Mhita, anatarajiwa kuongoza mapokezi ya Mwenge wa Uhuru utakaowasili rasmi mkoani Shinyanga tarehe 3 Agosti 2025, ukitokea mkoani Tabora. Mwenge huo utapokelewa katika Kituo cha Mabasi cha Kagongwa, kilichopo Wilaya ya Kahama. Katika ziara hiyo ya Mwenge, unatarajiwa kukimbizwa kwa umbali wa kilometa 819.2 ndani ya halmashauri zote sita za mkoa huo, ukipitia miradi 44 ya maendeleo yenye thamani ya Shilingi bilioni 17.3. Kwa mujibu wa Mkuu huyo wa Mkoa, Mwenge huo utakagua, kufungua na kuzindua miradi ya afya, elimu, maji, miundombinu na shughuli za vijana na wanawake zinazolenga kuwaletea wananchi maendeleo endelevu. Mkuu wa Mkoa, Mhe. Mhita, amewaomba wananchi wa Shinyanga kujitokeza kwa wingi kushiriki mapokezi ya Mwenge huo wa kitaifa kama ishara ya mshikamano, uzalendo na kuunga mkono juhudi za serikali katika kuimarisha huduma kwa jamii. “Mapokezi haya ni ya kihistoria, hivyo ni fursa kwa wananchi kuonyesha mshikamano wao na kufuatilia kwa ...

TAASISI NA ASASI ZA ELIMU YA MPIGA KURA ZATAKIWA KUZINGATIA SHERIA

Image
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa siku moja wa Tume na asasi za kiraia kuhusu uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Mkutano huo umefanyika leo Julai 30, 2025 Jijini Dar es Salaam.  Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa siku moja wa Tume na asasi za kiraia kuhusu uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Mkutano huo umefanyika leo Julai 30, 2025 Jijini Dar es Salaam.  Sehemu ya wajumbe wa management ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ikiwa katika mkutano huo.  Baadhi ya washiriki kutoka asasi za kiraia wakifuatilia mada katika mkutano huo.  Baadhi ya washiriki kutoka asasi za kiraia wakifuatilia mada katika mkutano huo.  Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ndg. Kailima Ramadhani akizungumza wakati wa Mkutano wa siku moja wa Tume na asasi za kiraia kuhusu uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025...

KIKAO CHA KAMATI YA MAADILI CCM KILIVYOFANYIKA USIKU JIJINI DODOMA

Image
Kikao cha Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kikiendelea muda huu majira ya saa nane usiku chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia na kuchuja majina ya wagombea Jijini Dodoma tarehe 28 Julai, 2025.