Skip to main content

MAKAMU WA RAIS AKIWASILI NCHINI BRAZIL



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Juscelino Kubitschek Jijini Brasilia nchini Brazil ambapo anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa pili wa Brazil na Afrika kuhusu usalama wa chakula, mapambano dhidi ya njaa na maendeleo vijijini. Tarehe 19 Mei 2025.









Comments

Popular posts from this blog

SEKTA YA NISHATI IWE KICHOCHEO CHA KUIUNGANISHA AFRIKA KUJENGA UCHUMI