MBALIMBALI KATIKA MAANDALIZI YA KUSHIRIKI IBADA YA KUMUAGA HAYATI CLEOPA DAVID MSUYA LEO


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Wiliam Lukuvi pamoja na viongozi mbalimbali katika maandalizi ya kushiriki ibada ya kumuombea na kuaga Mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Cleopa David Msuya, leo Mei 13, 2025. 

Ibada hiyo itafanyika katika Kanisa la KKKT Kristo Mchungaji Mwema; Dayosisi ya Mwanga, Jimbo la Kaskazini, Usharika wa Usangi Kivindu, Usangi, Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro


Comments

Popular posts from this blog

SEKTA YA NISHATI IWE KICHOCHEO CHA KUIUNGANISHA AFRIKA KUJENGA UCHUMI