Skip to main content

DKT. MPANGO AFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA




Na Mwandishi wetu

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa  Antonio Guterres yaliyofanyika kando ya Mkutano wa Tatu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Bahari unaofanyika Jijini Nice nchini Ufaransa Juni 10, 2025.

Mazungumzo hayo yamelenga kuimarisha zaidi ushirikiano baina ya Tanzania na Umoja wa Mataifa kupitia Taasisi mbalimbali zilizo chini ya Umoja wa Mataifa.





Comments

Popular posts from this blog

SEKTA YA NISHATI IWE KICHOCHEO CHA KUIUNGANISHA AFRIKA KUJENGA UCHUMI