JAJI MWAMBEGELE AKAGUA MWENENDO UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA KWENYE MAGEREZA
- Get link
- X
- Other Apps
Mzunguko wa tatu wa awamu ya pili ya uboreshaji Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa Wafungwa chini ya miezi sita na mahabusu waliopo katika Magereza kwa Tanzania Bara na Vyuo vya Mafunzo Zanzibar umeanza leo Juni 28, 2025 na utaendelea kwa siku saba hadi Julai 04, 2025
- Get link
- X
- Other Apps


Comments
Post a Comment