CHINI YA RAIS SAMIA BIASHARA YA FEDHA IMEIMARIKA


Tangu Rais Samia anaingia madarakani mwaka 2021 mapato yatokanayo na sekta ya Fedha na Bima yameongezeka kutoka TZS4,412,967 hadi TZS6,557,881 mwaka 2024 sawa na ongezeko la TZS2,144,914Trilioni ambalo ni sawa na ongezeko la 48.6% .

Ongezeko hili linatokana na juhudi za serikali Rais Samia ya kuboresha mazingira ya biashara, kukuza ushirikiano kati ya sekta binafsi na umma, pamoja na kuimarika kwa mifumo ya ukusanyaji mapato na udhibiti wa huduma za kifedha na Bima na Imani ya wananchi kwa kampuni za Bima.

Comments

Popular posts from this blog

SEKTA YA NISHATI IWE KICHOCHEO CHA KUIUNGANISHA AFRIKA KUJENGA UCHUMI