CHINI YA RAIS SAMIA NAKISI YA BAJETI IMEFIKIA ASILIMIA 2.9 MWAKA 2025 KUTOKA ASILIMIA 33 MWAKA 2020
Chini ya Rais Samia, nakisi ya bajeti imeshuka kutoka takriban asilimia 3.3 ya Pato la Taifa sawa na takribani shilingi trilioni 4.65 mwaka 2020/21 hadi asilimia 2.9 ya Pato la Taifa sawa na takribani shilingi trilioni 4.27 mwaka 2025/26.
Mabadiliko haya yanaonesha uimara wa usimamizi wa mapato na matumizi pamoja na kupungua kwa utegemezi wa mikopo katika kugharamia bajeti, hali inayochangia uhimilivu wa deni la taifa na kuimarisha nafasi ya Serikali katika kupanga vipaumbele vya maendeleo bila shinikizo kubwa la kifedha

Comments
Post a Comment