RAIS SAMIA ATOA SHILINGI 1,000 YA LISHE KWA KILA MTOTO

 


Chini ya Rais Samia, Serikali imeimarisha huduma za lishe ili kupunguza udumavu na utapiamlo kwa watoto. 

Watoto 7,454,996 chini ya miaka mitano walipimwa hali ya lishe, ambapo 149,308 waliobainika na utapiamlo mkali walitibiwa.

Wazazi na walezi 11,449,738 walielimishwa kuhusu lishe bora, huku wajawazito 7,440,63 wakipatiwa vidonge vya kuongeza damu. 

Aidha, watoto 8,944,200 wa sekondari walipata chakula na fidia ya ada, 2,761,311 wakipatiwa fidia ya ada na 3,067,217 wakipokea ruzuku ya uendeshaji katika shule 4,944.

Comments

Popular posts from this blog

SEKTA YA NISHATI IWE KICHOCHEO CHA KUIUNGANISHA AFRIKA KUJENGA UCHUMI