SERIKALI ILITUMIA BIL.600 KURUZUKU BEI YA MAFUTA
Ruzuku ya mafuta iliyogharimu shilingi bilioni 100 kila mwezi kati ya Juni hadi Desemba 2022 ilikuwa hatua muhimu ya serikali kusaidia kupunguza mzigo wa bei za mafuta kwa wananchi na sekta mbalimbali za Uchumi.
Kupitia mpango huu, Serikali ililenga kudhibiti athari za ongezeko la bei za mafuta sokoni, ambalo lilisababisha mfumuko wa bei na changamoto nyingine za kiuchumi.
Hata hivyo,gharama kubwa ya ruzuku hiyo ilionyesha changamoto za kifedha katika kuendeleza mpango huo kwa muda mrefu, huku ikihitaji usimamizi makini wa matumizi ili kuhakikisha faida za ruzuku zinawafikia walengwa kwa ufanisi.
Ruzuku hii pia ilisisitiza umuhimu wa kutafuta mbadala wa nishati endelevu na kupunguza utegemezi wa mafuta ghafi kama suluhisho la muda mrefu.

Comments
Post a Comment