WATALII WA NJE KUFIKIA MILIONI 8 IFIKAPO MWAKA 2030

Chini ya Rais Samia, idadi ya watalii wa nje imeongezeka kutoka 922,000 mwaka 2021 hadi watalii milioni 2.1 mwaka 2025, Hata hivyo matarajio yakionyesha watafikia milioni 8 ifikapo mwaka 2030, 

Hii ni kwa kwamujibu wa Ilani ya CCM 2025-2030. 

Ongezeko hili linaashiria ukuaji mkubwa wa sekta ya utalii na na hivyo kuendelea kuongeza mchango wake katika uchumi wa Taifa na ajira.


Comments

Popular posts from this blog

SEKTA YA NISHATI IWE KICHOCHEO CHA KUIUNGANISHA AFRIKA KUJENGA UCHUMI