MAPATO YOTE YA NDANI YAFIKIA TRILIONI 1.35

Chini ya Rais Samia, mapato ya ndani ya halmashauri yameongezeka kutoka shilingi bilioni 814.96 mwaka 2020 hadi shilingi trilioni 1.35 mwaka 2025, sawa na ongezeko la asilimia 60. 

Ongezeko hili limechochewa na uboreshaji wa mifumo ya ukusanyaji mapato kwa njia za kidijitali, ambapo zaidi ya halmashauri 184 sasa zinatumia mfumo wa kielektroniki wa ukusanyaji mapato (LGRCIS). 

Mapato haya yamewezesha kuongeza fedha za maendeleo kwa miradi ya shule, afya, na miundombinu ya vijiji.


Comments

Popular posts from this blog

SEKTA YA NISHATI IWE KICHOCHEO CHA KUIUNGANISHA AFRIKA KUJENGA UCHUMI