VIPERS YAMKABIDHI ALLAN OKELLO MEDALI YA UBINGWA

Kiungo mpya wa Yanga SC, Allan Okello, amekabidhiwa medali ya ubingwa wa ligi ya Uganda kutokana na mchango wake akiwa Vipers SC kabla ya kujiunga na Yanga.


 Okello alitoa mchango mkubwa katika kampeni ya ubingwa kwa kufunga mabao muhimu kabla ya kuhamia Tanzania. 


“Star Boy” aliiongoza Vipers kwenye msimu wa mafanikio makubwa, akimaliza kama mfungaji bora wa ligi ya Uganda akiwa na mabao 19 na kusaidia timu kutwaa ubingwa pamoja na kombe la Uganda kabla ya kuhamia Yanga.




Comments

Popular posts from this blog

SEKTA YA NISHATI IWE KICHOCHEO CHA KUIUNGANISHA AFRIKA KUJENGA UCHUMI