Posts

WAPIGA KURA 37,647,235 KUPIGA KURA KATIKA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 29

Image
  Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akizungumza na wananchi wakati akisoma risala yake kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotaraji kufanyika Oktoba 29, 2025. 

INEC YAKAGUA VITUO VYA KUPIGIA KURA JIMBO LA TANGANYIKA

Image
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele ametembelea na kujionea maandalizi ya ujenzi wa vituo 83 kati ya 90 vya Wapiga Kura vilivyotengwa maalum kwaajili ya wakazi wa zilizokuwa Kata za Ilangu, Ipwaga, Bulamata na Mishamo zilizopo Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi ambazo zilifutwa na Waziri mwenye dhamana ya Serikali za Mitaa kwa mujibu wa Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya), Sura 287. Jaji Mwambegele alitembelea eneo hilo la Kata ya Tongwe katika Kitongoji cha Luhafwe leo Oktoba 26, 2025 akiwa ameambatana na Mratibu wa Uchaguzi Mkoa wa Katavi, Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Tanganyika na watendaji wengine wa uchaguzi kuangalia maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliopangwa kufanyika Oktoba 29, 2025 nchini kote. Akizungumza akiwa katika eneo la Mnada wa Kitongoji cha Luhafwe, Jaji Mwambegele alisema Tume ilitangaza kuhamisha baadhi ya vituo nje ya Makazi ya Wakimbizi hivyo amefika na kuangalia ...

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO

Image
 

TUME YATOA MAELEKEZO YA KISERA KATIKA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025

Image
   

SERIKALI IMEONESHA DHAMIRA YA DHATI KULINDA MAISHA YETU DHIDI YA MAMBA - WANANCHI MARA,

Image
Na Mwandishi wetu, Mara  Wananchi wa wilaya ya Bunda mkoani Mara wamekiri kuiona dhamira ya dhati ya Serikali inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania - TAWA ya kutatua migongano baina ya wanyamapori na binadamu Kwa kuongeza Idadi ya vizimba, hatua inayotajwa kupunguza athari Kwa wananchi hao. Kauli hiyo imetolewa Oktoba 22, 2025 wakati wa ziara ya kukagua vizimba hivyo ikienda sambamba na utoaji elimu ya kuepuka madhara yanayoweza kusababishwa na wanyampori aina ya mamba na viboko iliyofanywa na maofisa wa TAWA mkoani humo. Miongoni mwa wananchi aliyewahi kujeruhiwa na mamba, Kurwa Ryoba mkazi wa Kijiji cha Buzimbwe  ameishukuru Serikali Kwa hatua hiyo ya kuongeza Idadi ya vizimba akisema vizimba hivyo ni suluhisho muhimu katika kuokoa maisha ya wananchi, huku akiwasisitiza wananchi wenzake kutopuuzia kutumia vizimba hivyo ili wasije wakapata madhara aliyoyapata yeye  "Naish...

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO

Image
 

YANGA YAMFUNGASHIA VIRAGO FOLZ

Image