NIMEPIGA KURA,NIMETIMIZA HAKI YANGU KIKATIBA
Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga leo ameshiriki zoezi la kupiga kura katika Kitongoji cha Mheza kijiji cha Mkumbi Halmashauri ya Mbinga Vijijini ili kuchagua viongozi wa eneo husika.

Comments
Post a Comment