MKURUGENZI WA MAWASILIANO YA RAIS IKULU BAKARI MACHUMU AKUTANA NA WANABLOGU NA WAZALISHAJI MAUDHUI MTANDAONI IKULU DAR
- Get link
- X
- Other Apps

Viongozi mbalimbali wakizungumza katika Kikao cha pamoja cha Waandishi wa Habari wa Mtandaoni, Wanablogu mbalimbali pamoja na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Bw. Bakari Machumu, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 27 Novemba, 2025.
Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN), Beda Msimbe akifafanua jambo .Waandishi wa Habari wa Mtandaoni, pamoja na Wanablogu mbalimbali wakizungumza katika Kikao cha pamoja na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Bw. Bakari Machumu, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 27 Novemba, 2025.
- Get link
- X
- Other Apps

.jpg)



Comments
Post a Comment