DKT. KIJAJI AWASILI TFS KWA ZIARA YA KIKAZI


Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, amewasili ofisi za Makao Makuu ya Wakala wa Misitu Tanzania (TFS), Jijini Dodoma, kwa lengo la kukagua shughuli za uhifadhi na Utalii. 


Waziri Kijaji amepokelewa na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii Bw. Nkoba Mabula,  Kamishna Mkuu wa Uhifadhi TFS, Prof. Dos Santos Silayo, Menejimenti ya Wizara pamoja na Maafisa wa taasisi hiyo pamoja na kukagua gwaride maalum lililoandaliwa na Jeshi la Uhifadhi

Comments

Popular posts from this blog

SEKTA YA NISHATI IWE KICHOCHEO CHA KUIUNGANISHA AFRIKA KUJENGA UCHUMI