BWEGE AHAMIA CHADEMA



 Aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilwa Kunisini, Selemani Said Ally maarufu "Bwege"  ametangaza rasmi kujivua uanachama wa chama cha ACT WAZALENDO.


Katika taarifa yake aliyoitoa, Bwege ameeleza kuwa uamuzi huo umetokana na Hiari yake mwenyewe kutoka moyoni , baada ya kutafakari kwa muda mrefu na kugundua kuwa ACT WAZALENDO sio rafiki sahihi kwake.


Comments

Popular posts from this blog

SEKTA YA NISHATI IWE KICHOCHEO CHA KUIUNGANISHA AFRIKA KUJENGA UCHUMI