MAANDALIZI YA UFUNGUZI WA LIGI YA TAIFA YA MPIRA WA WAVU YAPAMBA MOTO
Maandalizi ya ufunguzi wa Ligi ya Taifa ya Mpira wa Wavu yanaendelea katika Viwanja vya Mwembeyanga, Dar es Salaam, leo Agosti 3, 2026, huku kila kitu kikiwa tayari kwa uzinduzi wa mashindano hayo.
Mashabiki wanatarajiwa kupata burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali kabla ya kushuhudia mchezo wa ufunguzi wa wanaume utakaowakutanisha Jeshi Stars dhidi ya Tanzania Prisons katika mtanange unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.






Comments
Post a Comment